Mshirika Wako wa Kwanza China na TZ

Sourcing ya Mashine, Malighafi na Vipuri Kutoka China Bila Madalali

Hatusimami kama madalali—sisi ni washirika wako wa utekelezaji (Execution Partner) tulioko moja kwa moja China na Tanzania. Tunarahisisha ununuzi wa mitambo, malighafi (raw materials) na spare parts kwa uaminifu, kasi ya juu na punguzo la gharama la 25% hadi 30%.

  • Kufikia viwanda halisi vya uzalishaji China (Direct Factory Access)
  • Ukaguzi mkali wa ubora (Quality Control) kabla ya kupakia
  • Uratibu mzima wa usafirishaji wa makontena (FCL/LCL) na Air Cargo

Alnair Cargo & Sourcing

Guangzhou to Dar es Salaam

100% Salama
Viwanda Vilivyothibitishwa

+

Makontena ya Burj Canal

+

Mizigo ya Atlas School

+

Machines na bidhaa kwa ajili ya SUMA JKT Kitengo Shoes and Leather Products

+

Mining Machines

%

Gharama Zilizookolewa

Ukweli Kuhusu Sourcing

Changamoto za Sourcing China vs Suluhisho Letu

Njia ya kawaida ya kufanya sourcing kutoka viwanda vya China mara nyingi hujaa vikwazo ambavyo hugharimu muda na fedha nyingi.

Sourcing ya Kawaida

  • Madalali na Gharama za Ziada
    Msururu mrefu wa mawakala (middlemen) unaongeza bei ya bidhaa kwa zaidi ya 25% kabla ya kukufikia.
  • Mawasiliano Yanayochelewa
    Tofauti ya masaa na ugumu wa lugha husababisha kuchelewa kupata quotation sahihi na majibu ya kiufundi.
  • Kukosa Udhibiti wa Ubora (QC)
    Kununua bila kukagua bidhaa moja kwa moja kiwandani huleta hatari ya kupokea bidhaa zenye hitilafu au zisizo na vipimo sahihi.

Utekelezaji na Alnair

  • Ununuzi wa Moja kwa Moja Kiwandani
    Tunakutanisha moja kwa moja na viwanda vikubwa nchini China. Bei za kiwandani bila kuongezewa thumni na madalali.
  • Timu ya Ground nchini China
    Wafanyakazi wetu walioko Guangzhou hushirikiana moja kwa moja na viwanda katika masaa ya kazi, na kurahisisha majadiliano ya kiufundi.
  • Ukaguzi Mkali wa Ubora (On-Ground QC)
    Timu yetu inafanya ukaguzi wa kimwili wa mashine, malighafi au vipuri kabla havijatoka kiwandani na kusafirishwa.
Omba Quotation ya Moja kwa Moja
Huduma Zetu

Sourcing ya Kila Aina kwa Viwanda na Biashara

Tunashughulikia makundi makuu matatu ya sourcing kuhakikisha viwanda na miradi mikubwa nchini Tanzania inapata pembejeo sahihi.

Industrial Machinery

Sourcing ya mashine nzito na nyepesi za viwandani. Iwe ni kwa uzalishaji wa bidhaa, kufungasha (packaging lines), au mashine za kilimo.

  • Mitambo ya uzalishaji kiwandani
  • Mashine za kufungasha na lebo
  • Custom engineering specifications

Raw Materials (Malighafi)

Uagizaji wa malighafi za kila aina zinazohitajika katika uzalishaji wa bidhaa mbalimbali viwandani kwa viwango thabiti vya kimataifa.

  • Ngozi za kibiashara na kajeshi
  • Kemikali na madini ya viwandani
  • Nguo na bidhaa za polyester/cotton

Spare Parts (Vipuri)

Vipuri vya kila aina kwa ajili ya mashine za viwandani, mitambo mizito, magari ya mizigo, au mifumo ya umeme ya uzalishaji.

  • Vipuri maalum vya mitambo mizito
  • Mfumo wa haidroliki na gia (gears)
  • Uzalishaji vya vipuri kwa mahitaji yako

Logistiki Kamili kutoka Guangzhou hadi Dar es Salaam

Hatufanyi tu sourcing; tunasimamai container consolidation (LCL/FCL), vibali vya bandari, na usafirishaji wa anga kwa bidhaa za haraka.

Anza Kuagiza Sasa
Ushahidi wa Kazi

Mifano Halisi ya Kazi Zetu (Case Studies)

Jinsi tulivyosaidia miradi mikubwa ya maendeleo na taasisi za serikali nchini Tanzania kuokoa gharama na kupata bidhaa bora.

Ujenzi na Elimu

Atlas School Sourcing

Sourcing na logistics ya vifaa vya ujenzi, fanicha za kisasa za madarasa na ofisi, mifumo ya TEHAMA na vifaa vya masomo kwa ajili ya shule ya Atlas School nchini Tanzania.

100%

Sourcing & Delivery

Madarasa

Zana za Kisasa

10+

Mizigo ya Sourcing

  • Sourcing ya Vifaa: Kupata samani bora (school furniture) na vifaa vya kisasa vya madarasa kutoka viwandani China.
  • Mifumo ya TEHAMA: Kupata projeta, kompyuta na smart board kwa ajili ya elimu ya kisasa.
  • Consolidation: Kukusanya na kusafirisha mizigo kwa pamoja kwenye ghala la Guangzhou na kuisafirisha kwa pamoja ili kupunguza gharama.
Uchambuzi wa Gharama
Gharama kwa Njia ya Kawaida (Madalali) 100%
Gharama kupitia Alnair Continental 75% (Okoa 25%)

*Uchambuzi unaonesha akiba ya dola 214,000+ kwenye bajeti ya ununuzi.

Uzalishaji na Mitambo

SUMA JKT - Machines ++

Kuongeza tija ya uzalishaji ya Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) kupitia sourcing na ugavi wa mashine bora za uchimbaji na zana za kisasa za kilimo.

50+ Units

Mining Machines

25+ Units

Agricultural Machines

5+

Miradi ya SUMA JKT

  • 50+ Mining Machines: Kutafuta na kuagiza mashine bora za uchimbaji mawe na madini (heavy mining equipment).
  • 25+ Agricultural Machines: Kupata na kusafirisha matrekta na vifaa vya kisasa vya kilimo (farming attachments).
  • Uratibu na Logistics: Kusimamia ukaguzi wa ubora (QC) viwandani na clearance ya haraka bandarini Dar es Salaam.
Kasi ya Uzalishaji (Production Capacity)
Uwezo wa Uzalishaji Kabla Kiwango cha Chini
Baada ya Kufunga Mitambo Mpya (Kupitia Alnair) Kiwango cha Juu (300% Kuongezeka)

*Ufungaji wa mashine mpya 20+ uliongeza uwezo wa uzalishaji wa viatu kiwandani mara tatu zaidi.

Tuma Maombi ya Sourcing

Je, uko tayari kupata quotation bora ya viwanda China?

Omba quotation ya mitambo, malighafi, au vipuri kutoka viwanda vikubwa nchini China. Tutatafuta kiwanda sahihi, kukagua ubora, na kukusafirishia mzigo wako hadi Tanzania.

Anza Sasa / Tuma Mahitaji
Huduma ni Bure 100% Majibu ndani ya saa 24 Bila Madalali
Kwanini Alnair?

Uzoefu Wetu Ndio Fao Lako Kuu la Sourcing

Tunahakikisha biashara yako nchini Tanzania inapata faida ya bei ya chini na ubora wa kimataifa bila kuwa na wasiwasi wa kutapeliwa au kupoteza mizigo yako.

Warehouse Yetu Mwenyewe Guangzhou

Ghala letu nchini China linarahisisha kukusanya mizigo ya viwanda mbalimbali na kuipakia kwenye kontena moja kwa usalama kamili.

Timu ya Tanzania na China

Unawasiliana na ofisi yetu ya Dar es Salaam ilhali timu yetu iliyopo China inatekeleza mkataba wako moja kwa moja uwanjani.

Tuma Mahitaji Yako Sasa

Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)

Je, gharama zenu za sourcing ni kiasi gani?
Hatuna gharama zilizofichika wala gharama za madalali wa katikati. Kazi yetu inajumuisha kupewa quotation ya moja kwa moja ya kiwandani, na tunapata faida kupitia huduma zetu za kiwanda (kama QC) na uratibu mzima wa usafirishaji wa mizigo.
Mnasafirisha hadi maeneo gani Tanzania?
Ofisi yetu kuu ipo Dar es Salaam, lakini mizigo yote inapotoka bandarini tunaweza kuratibu usafirishaji wa nchi kavu hadi mkoa wowote Tanzania (kama Dodoma, Mwanza, Arusha, Mbeya, nk.) au nchi jirani.
Mnawezaje kuhakikisha ubora wa mashine kabla ya kusafirishwa?
Wataalamu wetu wa on-ground nchini China hutembelea kiwanda kilichozalisha mashine kufanya ukaguzi wa mwisho wa uendeshaji (FAT - Factory Acceptance Test) na kuchukua vipimo vya picha na video kabla ya kukubali kupakia mzigo.

Una maswali zaidi yasiyo na majibu hapa?

Wasiliana Nasi / Wasilisha RFQ